Header Ads

Breaking News
recent

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: David Madaha – Chuki na Fitina




Kutoka mjini morogoro Tanzania gospomedia.com leo inamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la David Madaha akifahamika kwa jina la wimbo huu mpya unaitwa Chuki na Fitina.

Akiongea na gospomedia.com David Madaha amesema kuwa wimbo huu unapatikana kwenye album yake mpya inayobeba jina hilo la Chuki na Fitina ambayo inapatikana kupitia maduka mbalimbali ya usambazaji ikiwa kwenye mfumo wa Audio Cd na Dvd.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Chuki na Fitina kutoka kwa mumbaji David Madaha na usiache kumpa sapoti kwa kuwashirikisha wengine wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kuwafikia wengi zaidi na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

No comments:

Powered by Blogger.